Showing posts with label AGSS. Show all posts
Showing posts with label AGSS. Show all posts
11 Jan 2018
24 Jan 2017
Written January 24, 2017 by Admin
AGSS, ana gamazo, anagamazo, anagamazo secondary school, Anna Gamazo, annagamazo secondary school15 Jul 2016
Matokeo ya Kidato cha Sita - 2016
Salamu kutoka Mang'ola
- Muhula wa pili (na wa kwanza kwa A-level) utaanza tarehe 18 Julai 2016. Kutakuwa na mitihani (entry exams) wiki hiyo, hivyo wanafunzi wasichelewe kurudi shuleni.
- NECTA wametoa matokeo ya Kidato cha Sita - 2016. Shule yetu imeendelea kufanya vizuri kama inavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.
Written July 15, 2016 by Admin
AGSS, ana gamazo, anagamazo, anagamazo secondary school, Anna Gamazo, annagamazo secondary school9 Jun 2016
Taarifa ya Muhula wa Kwanza-2016
Salamu kutoka Mang'ola,
Tumefikia mwisho wa muhula wa Kwanza (kwa O-level) na muhula wa Pili (kwa A-level) mwaka 2016.Wanafunzi wote wamefanya mitihani yao na karatasi kusahihishwa na wamerudishiwa.
Shule itafungwa Ijumaa, tarehe 10 Juni 2016, na wanafunzi wote watondoka shuleni.
Shule itafunguliwa Jumamosi, tarehe 16-7-2016 kwa wanafunzi wanaotoka nje ya Mang'ola na Jumapili, tarehe 17-7-2016 kwa wanafunzi wanaotoka Mang'ola. Wanafunzi wawahi kufika. Wale wanaotoka nje ya Mang'ola wafike kabla ya saa 11 jioni na wale wanaotoka Mang'ola wafike kabla ya saa tisa alasiri. Wanafunzi watakaochelewa watarudishwa nyumban siku hiyo hiyo.
Ni muhimu wanafunzi wafike wakiwa wamelipa ADA, watakaolipa benki wafike na "pay-slip." Pay slip iandikwe JINA KAMILI na KIDATO cha mwanafunzi anayelipiwa. Fedha ya MICHANGO, NAULI, MITIHANI, n.k. ilipwe taslimu.
MUHIMU:
- Ada ya A-level (kidato cha 5 & 6) imeongezeka kutoka sh. 600,000/- mwaka jana hadi sh. 700,000/- mwaka 2016/2017.
- Michango (administrative contributions) imeongezeka sh. 22,000/- kutokana na agizo la Jimbo kuchangia sh 30,000/- kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya uendeshaji wa idara ya Elimu.
Utawala
Written June 09, 2016 by Admin
AGSS, ana gamazo, anagamazo, anagamazo secondary school, Anna Gamazo, annagamazo secondary school30 Aug 2015
"Internet evolution and proper online behaviour" talk
On Thursday, 27th August our school received a guest speaker from Spain, Mr. Javier who works as a media consultant. Mr Javier gave a one hour talk to our students and faculty on the "Internet evolution and proper online behaviour." The talk concurred with the current spree of wanting and needing to be online -- all the time and wherever we are.
The talk started with an abridged history of the Internet, how it works and then to the evolution of Web 2.0 and Social networks. The Speaker advised the attendants on the fact than most of the things we post on the web expose us and that we have to be careful when doing so and to treat with respect the other netizens.
The talk was concluded by some insights on the internet (online) security measures and how should one appropriately behave when one is online. We are thankful to Mr Javier and his entourage of youths from Madrid, Spain as our faculty and students greatly benefited from the talk which covered the very updated information and which is relevant to the current needs.
The talk started with an abridged history of the Internet, how it works and then to the evolution of Web 2.0 and Social networks. The Speaker advised the attendants on the fact than most of the things we post on the web expose us and that we have to be careful when doing so and to treat with respect the other netizens.
The talk was concluded by some insights on the internet (online) security measures and how should one appropriately behave when one is online. We are thankful to Mr Javier and his entourage of youths from Madrid, Spain as our faculty and students greatly benefited from the talk which covered the very updated information and which is relevant to the current needs.
Written August 30, 2015 by Admin
AGSS, ana gamazo, anagamazo, anagamazo secondary school20 Jul 2015
Shule yetu ni "Number 1!"
Shule yetu ni ya KWANZA katika matokeo ya Mtihani wa ACSEE (Kidato cha Sita) mwaka 2015!
Kama majedwali hapo juu yanavyoonesha, Anna Gamazo Sekondari ni ya KWANZA katika mkoa wa Arusha kwa shule zenye wanafunzi chini ya 30 na ni namba 21 kitaifa! Pia somo la Jiografia (Geography) limeshika nafasi ya Kwanza kimkoa na ya 12 kitaifa bila kusahau somo la Kiswahili lililoshika nafasi ya Pili kimkoa. Tunawapongeza wahitimu wetu, wazazi na walezi wao, walimu na uongozi mzima wa Shule kwa kuweza kufanikiwa kufikia mafanikio haya makubwa.
Shule inaendelea kuwaahidi juhudi zaidi katika uboreshaji wa mazingira ya kujifunza na kufundishia kwa kuimarisha miundombinu, nidhamu, mbinu na vifaa vya ufundishaji na motisha ili kuiendeleza shule na kuweza kupata mafanikio ya kiwango hiki na bora zaidi kila wakati na kwa kila jambo!
Written July 20, 2015 by Admin
AGSS, ana gamazo, anagamazo, anagamazo secondary school, Anna Gamazo, annagamazo secondary school19 Jan 2015
Written January 19, 2015 by Admin
AGSS, Anna Gamazo, Form Two 201429 Oct 2014
Nyerere day 2014
![]() |
The main event of the day was panel discussion session on "15 years after Nyerere's death. Are we honouring his legacies?" |
![]() |
Wanafunzi wakiwa wanasikiliza kwa makini "Panel discussion" iliyoandaliwa na English Dept na kuongozwa na wanafunzi. |
![]() |
Mmoja wa washindi wa mashindano ya kuutunga ushairi (Poems) akipokea cheti cha ushindi kutoka kwa Mkuu wa Shule, Sr. Mercy Stella na mkuu wa Idara ya somo la Kiingereza, Mwl. V Labia. |
![]() | |
Washindi wa uandishi wa Insha na Ushairi wakiwa na vyeti vyao vya ushindi. (Vyeti vya njano, ushairi na vyeti vya rangi ya chungwa, insha.) |
Siku ya Nyerere (Nyerere day) mwaka 2014 iliandaliwa na Idara ya somo la Kiingereza (English Dept) ambapo ilihusisha uandishi wa Insha na Ushairi (Essay writing and poem composition).
Wanafunzi wote walialikwa kuandika insha kuhusu moja kati ya mada zifuatazo:
- The re-introduction of compulsory National Service (JKT)
- Tanzania towards getting a new Constitution
Pia kutunga ushairi kuhusu "The legacy and life of Mwl. JK Nyerere". Jumla ya insha 70 ziliwasilishwa kwa majaji kwa ajili ya mashindano na zaidi ya mashairi 200 pia yaliwasilishwa.
Tukio kubwa la siku lilikuwa ni panel discussion, iliyoongozwa na kuendeshwa na wanafunzi 14 waliowakilisha vidato vyote. Yalikuwa majadiliano marefu, yenye ari na mwamko na yenye kuonesha uelewa wa wanafunzi wetu kumhusu Baba wa Taifa na hatima yao kama vijana katika taifa hili.
Baadae wanafunzi waliofanya vizuri katika utunzi wa ushairi waliyasoma mashairi yao yaliyoshinda mbele ya hadhira na kutunukiwa vyeti na mkuu wa Shule, wanafunzi waliofanya vizuri kwa upande wa Insha pia walitunikiwa vyeti.
Idara ya somo la Kiingereza ambao ndio waandaaji wa tukio hili inajivunia mafanikio yake na inatarajia kulifanya tukio hili kuwa la kudumu kwenye kalenda ya matukio ya Idara na kuboresha zaidi maandalizi yake, kwani wanafunzi wameweza kupata wasaa na fursa ya kuboresha matumizi ya lugha ya Kiingereza kwa kuandika, kutunga na kuzungumza.
Mwl. V. Labia (HoD - English Dept)
Written October 29, 2014 by Admin
AGSS, Anna Gamazo, Nyerere, Nyerere day
Subscribe to:
Posts (Atom)
How to reach Us
Mang'ola Chini
-----------------------
P. O. Box 389
KARATU - ARUSHA
TANZANIA
-----------------------
Tel : +255 (0) 27 253 4129
Mob : +255 783 4444 89
-----------------------
Email : annagamazo(dot)school(at)gmail(dot)com
-----------------------
All Correspondence should be addressed to the "Headmistress"
-----------------------
P. O. Box 389
KARATU - ARUSHA
TANZANIA
-----------------------
Tel : +255 (0) 27 253 4129
Mob : +255 783 4444 89
-----------------------
Email : annagamazo(dot)school(at)gmail(dot)com
-----------------------
All Correspondence should be addressed to the "Headmistress"