- Muhula wa pili (na wa kwanza kwa A-level) utaanza tarehe 18 Julai 2016. Kutakuwa na mitihani (entry exams) wiki hiyo, hivyo wanafunzi wasichelewe kurudi shuleni.
- NECTA wametoa matokeo ya Kidato cha Sita - 2016. Shule yetu imeendelea kufanya vizuri kama inavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.
Matokeo ya Kidato cha Sita - 2016
Salamu kutoka Mang'ola