
&nb...
Written October 26, 2020 by Admin

...
Written July 13, 2018 by Admin

...

source: http://necta.go.tz/matokeo/2016/ftna/S1822.htm...

Salamu kutoka Anna Gamazo Sekondari.
Heri na fanaka za Mwaka Mpya 2017.
Shule itafunguliwa Ijumaa, tarehe 6 kwa wanafunzi wanaotoka Mang'ola na Jumamosi, tarehe 7 kwa wanafunzi wanaotoka nje ya Mang'ola. Wanafunzi wawahi kufika shuleni, wataochelewa watarudishwa nyumbani siku hiyo hiyo...
Written January 04, 2017 by Admin

Salamu kutoka Mang'ola
Muhula
wa pili (na wa kwanza kwa A-level) utaanza tarehe 18 Julai 2016.
Kutakuwa na mitihani (entry exams) wiki hiyo, hivyo wanafunzi
wasichelewe kurudi shuleni.
NECTA
wametoa matokeo ya Kidato cha Sita - 2016. Shule yetu imeendelea
kufanya vizuri kama inavyoonekana kwenye...

Salamu kutoka Mang'ola,
Tumefikia mwisho wa muhula wa Kwanza (kwa O-level) na muhula wa Pili (kwa A-level) mwaka 2016.
Wanafunzi wote wamefanya mitihani yao na karatasi kusahihishwa na wamerudishiwa.
Shule itafungwa Ijumaa, tarehe 10 Juni 2016, na wanafunzi wote watondoka shuleni.
Shule itafunguliwa...
How to reach Us
Mang'ola Chini
-----------------------
P. O. Box 389
KARATU - ARUSHA
TANZANIA
-----------------------
Tel : +255 (0) 27 253 4129
Mob : +255 783 4444 89
-----------------------
Email : annagamazo(dot)school(at)gmail(dot)com
-----------------------
All Correspondence should be addressed to the "Headmistress"