Salamu kutoka Mang'ola,
Mwanao anapojiunga na shule yetu, tunakuhakikishia kuwa umemleta kati ya washindi. Na kwa matokeo haya unaweza kujua ni kwa nini.
Karibu Anna Gamazo Sec.
1) Kabla ya mwaka 2014, matokeo yalikuwa katika mfumo wa divisheni. Mwaka 2014 na matokeo ya F2 ya mwaka 2015 yako kweny mfumo wa Distinction, Merit, Credit na Pass. |